Natafuta kazi yoyote halali

Habari, msaada wa ajira jamani, yoyote ili kujikwamua katika wimbi hili. Ingawa.
My professional: ualimu ( kiswahili na english).
Marital status: single
Education: bachelor
Experience: 1 year
Capability: capable of working without supervision
Interest: Reading books.
Mwenye nia ya msaada karibu pm.
Wasap me through 0744033555 tuongee zaidi
 
Habari, msaada wa ajira jamani, yoyote ili kujikwamua katika wimbi hili. Ingawa.
My professional: ualimu ( kiswahili na english).
Marital status: single
Education: bachelor
Experience: 1 year
Capability: capable of working without supervision
Interest: Reading books.
Mwenye nia ya msaada karibu pm.
Kila la kheri mwalimu
 
Kweli ajira zimekuwa ngumu sana.

2019

View attachment 1713870

2021

View attachment 1713871

BTW wewe ni mwanaume, sasa kwa nini ulianzisha uzi wa kutafuta mwenza wa kiume?

View attachment 1713872

Screenshot_20210228-135208.jpg
 
Kweli ajira zimekuwa ngumu sana.

2019

View attachment 1713870

2021

View attachment 1713871

BTW wewe ni mwanaume, sasa kwa nini ulianzisha uzi wa kutafuta mwenza wa kiume?

View attachment 1713872

View attachment 1713873
Hivi we mtu, una nini lakini?. Mimi ni mwanaume uliwah kuniona?. Mbn unanifata Kila sehemu?. Usizushe tu mambo khaaa.
 
Kweli ajira zimekuwa ngumu sana.

2019

View attachment 1713870

2021

View attachment 1713871

BTW wewe ni mwanaume, sasa kwa nini ulianzisha uzi wa kutafuta mwenza wa kiume?

View attachment 1713872

View attachment 1713873
Mbn mimi sikufatilii kwenye nyuzi zakoo
 
Kwa vigezo ulivovitoa kule maeneo wewe sio wa kuomba kazi
Hivi watu wa jf mna nini lakini?. Bdl ya kujibu kulingana na post ya sasa unaanza kutafuta vya nyuma. Inakuwaje hii, unakuwa unavutiwa na mtu au? Ndo mn unafata vya nyuma?. Alafu haya ni maisha, muda wwt na wkt wwt mwenyezi Mungu akiamua kukushusha chini anakushusha tu kwa sekunde. Hii c ajabu. Leo unaweza ukawa bilionea kesho ukawa fukara. Usikariri maisha mkuu, eti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom