Wasap me through 0744033555 tuongee zaidiHabari, msaada wa ajira jamani, yoyote ili kujikwamua katika wimbi hili. Ingawa.
My professional: ualimu ( kiswahili na english).
Marital status: single
Education: bachelor
Experience: 1 year
Capability: capable of working without supervision
Interest: Reading books.
Mwenye nia ya msaada karibu pm.
Kila la kheri mwalimuHabari, msaada wa ajira jamani, yoyote ili kujikwamua katika wimbi hili. Ingawa.
My professional: ualimu ( kiswahili na english).
Marital status: single
Education: bachelor
Experience: 1 year
Capability: capable of working without supervision
Interest: Reading books.
Mwenye nia ya msaada karibu pm.
Mkuu offer hii ni kwa mleta mada tu au ni kwa mwanajf yeyote mwenye sifa na uwezo?Kama unaweza kufanya kazi Dodoma Wilaya ya Kongwa nicheki 0620333409,ni Shule binafsi lakini
Hivi we mtu, una nini lakini?. Mimi ni mwanaume uliwah kuniona?. Mbn unanifata Kila sehemu?. Usizushe tu mambo khaaa.Kweli ajira zimekuwa ngumu sana.
2019
View attachment 1713870
2021
View attachment 1713871
BTW wewe ni mwanaume, sasa kwa nini ulianzisha uzi wa kutafuta mwenza wa kiume?
Mwenza bora anahitajika
Poleni na corona. Acha leo na mie nije na vigezo vyangu vya kutafuta mwenza. Baada ya watu wengi kunivutia wakileta mirejesho ahahaha Sifa ya mwanaume anayehitajika. 1) Awe na kitambi, ila sio cha pombe. (Mnene) 2)Awe na miaka 29/30 3)Jina lake lianzie na herufi E au F 4)Awe amezaliwa August...www.jamiiforums.com
View attachment 1713872
View attachment 1713873
Mbn mimi sikufatilii kwenye nyuzi zakooKweli ajira zimekuwa ngumu sana.
2019
View attachment 1713870
2021
View attachment 1713871
BTW wewe ni mwanaume, sasa kwa nini ulianzisha uzi wa kutafuta mwenza wa kiume?
Mwenza bora anahitajika
Poleni na corona. Acha leo na mie nije na vigezo vyangu vya kutafuta mwenza. Baada ya watu wengi kunivutia wakileta mirejesho ahahaha Sifa ya mwanaume anayehitajika. 1) Awe na kitambi, ila sio cha pombe. (Mnene) 2)Awe na miaka 29/30 3)Jina lake lianzie na herufi E au F 4)Awe amezaliwa August...www.jamiiforums.com
View attachment 1713872
View attachment 1713873
Hivi watu wa jf mna nini lakini?. Bdl ya kujibu kulingana na post ya sasa unaanza kutafuta vya nyuma. Inakuwaje hii, unakuwa unavutiwa na mtu au? Ndo mn unafata vya nyuma?. Alafu haya ni maisha, muda wwt na wkt wwt mwenyezi Mungu akiamua kukushusha chini anakushusha tu kwa sekunde. Hii c ajabu. Leo unaweza ukawa bilionea kesho ukawa fukara. Usikariri maisha mkuu, etiKwa vigezo ulivovitoa kule maeneo wewe sio wa kuomba kazi