sifael mgeni
New Member
- Jan 10, 2017
- 2
- 0
Mimi ni msichana wa miaka 22,Niko moshi mjini, ninaelimu ya certificate ya journalism and mass communication na pia certificate ya hotel management.
Alishasema yeyote halali hujaelewa nini? Mwenzako hayuko quantised to her professional only kufanya wigo wa soko! Kufua lodge ni kazi pia!Kazi yoyote halali ama kazi inayoendana na proffesional yako binti.Vp mtu akikwambie kuna kazi ya lodge kuhudumia na kufua utafanya.