Natafuta kazi yoyote halali upande wa marketing and sales

Next Elon Musk

Senior Member
Dec 2, 2019
111
80
Habari wana jf,

Nimehitimu elimu ya kidato cha nne 2018 Shule ya Sekondari ya Mbande nikatunukiwa cheti cha kuhitimu
Nikabahatika kufanya kazi upande wa sales kwa mwaka mmoja.

Natafuta kazi yoyote ambayo in halali upande wa sales and marketing Nina ujuzi wa computer na najua kutumia (word,excel,PowerPoint) nina skills za marketing, sales, communication, and customer handling skills.

Najua kiingereza na kiswahili vyema. Natafuta kazi ili niweze kujikimu mahitaji na kuendesha maisha ya kila siku nitashukuru endapo ombi langu litajibiwa.

Kwa uhitaji wa CV natuma ikiwa itatokea nafasi mawasiliano 0654865266 unaweza kupiga na WhatsApp pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom