Mkuu vigezo ni gani zinahitajika kwa hii kampunikama upo teyari kufanya kazi kwenye kampuni ya ulinzi...kwa mshahala unaoanzia 250k ukiambatana na makato ya nssf...
Njoo hapa empelor....kwenye hii njia inayo pandisha sanawali...utakuta kampuni kubwa ya ulinzi inaoitwa garda...tunapokea cv na upo uhakika wa kazi ujishikize huku ukiwa unasubiri bahati ya ajira inayoendana na elimu yako....
hakikisha uwe mrefu
kikubwa kabisa ni urefu...Mkuu vigezo ni gani zinahitajika kwa hii kampuni
haiitajiki rushwa kuipata kazi hii ni vigezo tu>>elimu kuanzia kidato cha nne...japo muda mwingine hadi darasa la saba huwa wanachukuliwa....{ata kama una elimu kubwa zaidi ya kidato cha nne usiweke cheti kikubwa weka cheti cha kidato cha nne tu...wakikuuliza waambie elimu yako ni kidato cha nne}
>>cheti cha kuzaliwa
>>namba ya nida au kitambulisho cha nida
>>namba ya utambulisho wa mpiga kula TIN
>>uwe na miaka kuanzia 24-45
Mimi ni mrefu sana na nina mwilli wa mazoezikikubwa kabisa ni urefu...
haiitajiki rushwa kuipata kazi hii ni vigezo tu
Hii nayo huyo changamoto sehemu nyingikikubwa kabisa ni urefu...
haiitajiki rushwa kuipata kazi hii ni vigezo tu
kama upo arusha na unacho kigezo kama nilivyo andika nenda pale emparol kisha pandisha ile njia inayoelekea sanawali...mita chache kutoka hapo kipreft utaona mabango ya garda...vigezo vyako tu ndio vinavyo hitajikaHii nayo huyo changamoto sehemu nyingi
kama upo teyari kufanya kazi kwenye kampuni ya ulinzi...kwa mshahala unaoanzia 250k ukiambatana na makato ya nssf...
Njoo hapa empelor....kwenye hii njia inayo pandisha sanawali...utakuta kampuni kubwa ya ulinzi inaoitwa garda...tunapokea cv na upo uhakika wa kazi ujishikize huku ukiwa unasubiri bahati ya ajira inayoendana na elimu yako....
hakikisha uwe mrefu
teyari nimesha kujibu pm...karibu tenaNimeku PM kuomba maelekezo zaidi