Natafuta kazi yoyote halali ndani ya nchi hata nje

nana_

JF-Expert Member
May 17, 2021
667
1,494
Elimu: Bachelor of accounting and finance

Makazi: Manyara

Naombeni mchongo ndugu zangu. Asanteni
 
kama upo teyari kufanya kazi kwenye kampuni ya ulinzi...kwa mshahala unaoanzia 250k ukiambatana na makato ya nssf...

Njoo hapa empelor....kwenye hii njia inayo pandisha sanawali...utakuta kampuni kubwa ya ulinzi inaoitwa garda...tunapokea cv na upo uhakika wa kazi ujishikize huku ukiwa unasubiri bahati ya ajira inayoendana na elimu yako....

hakikisha uwe mrefu
 
Mkuu vigezo ni gani zinahitajika kwa hii kampuni
 
kikubwa kabisa ni urefu...
>>elimu kuanzia kidato cha nne...japo muda mwingine hadi darasa la saba huwa wanachukuliwa....{ata kama una elimu kubwa zaidi ya kidato cha nne usiweke cheti kikubwa weka cheti cha kidato cha nne tu...wakikuuliza waambie elimu yako ni kidato cha nne}
>>cheti cha kuzaliwa
>>namba ya nida au kitambulisho cha nida
>>namba ya utambulisho wa mpiga kula TIN
>>uwe na miaka kuanzia 24-45
haiitajiki rushwa kuipata kazi hii ni vigezo tu
 
Hii nayo huyo changamoto sehemu nyingi
kama upo arusha na unacho kigezo kama nilivyo andika nenda pale emparol kisha pandisha ile njia inayoelekea sanawali...mita chache kutoka hapo kipreft utaona mabango ya garda...vigezo vyako tu ndio vinavyo hitajika
 
kama upo teyari kufanya kazi kwenye kampuni ya ulinzi...kwa mshahala unaoanzia 250k ukiambatana na makato ya nssf...

Njoo hapa empelor....kwenye hii njia inayo pandisha sanawali...utakuta kampuni kubwa ya ulinzi inaoitwa garda...tunapokea cv na upo uhakika wa kazi ujishikize huku ukiwa unasubiri bahati ya ajira inayoendana na elimu yako....

hakikisha uwe mrefu

Nimeku PM kuomba maelekezo zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom