Frank mtanganyika
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 458
- 731
Mimi ni Civil technician kutokana na uhaba wa contract za ujenzi kwa sasa niko mtaani naombeni kwa yoyote anayeweza kunisaidia kazi yoyote halali.
Note sichagui kazi hata kama unataka kazi ya kibarua sehemu niko tayari kufanya.
Note sichagui kazi hata kama unataka kazi ya kibarua sehemu niko tayari kufanya.