Natafuta kazi yoyote halali, elimu yangu ni Kidato cha Sita nipo Mbeya

jr G

New Member
Jun 9, 2020
1
2
Habari wana JF, Heshima yenu wakuu.

Naomba kwa mtumiaji yeyote wa mtandao huu mwenye taarifa ya uwepo wa kazi sehemu anisaidie mwenzenu nipate chochote maishani.

A: Majina - Godbless Bathromeo.

B:Jinsia - mwanamme.

C:Umri - miaka 25.

D: Elimu - kidato cha sita HKL. ( Nilishindwa kuendelea na chuo kwasababu ya matatizo ya familia yaliyopelekea kushindwa kulipa gharama)

E: Makazi ya sasa - Mbeya mjini - Ilomba

F: Dini na kabila - ( japo katika hili sio utamaduni wetu sana) mkristo, mhehe kutoka Mufindi Iringa

G: Uzoefu wa kazi - zaidi ya kilimo na kufundisha wanafunzi masomo ya ziada, sijawahi kufanya kazi inayoelezeka rasmi.

H: Aina ya kazi ninayohitaji - sichagui kazi, kigezo ni kimoja tu iwe kazi halali

I: Mawasiliano - godblessbathromeo@gmail.com

Naomba radhi kwa hili, nimetumia E-MAIL ili kuwa na uhakika wa Mawasiliano kwani sina simu kwa Sasa ninachoweza kupata ni internet connection na ujumbe kwa njia hii naupata inbox ni haraka na uhakika zaidi popote na kwa njia yeyote iwe simu au Pc hata kama siyo ya kwangu.

NB: kwa watakaoshindwa kutumia E-MAIL wanaweza kutuma ujumbe inbox kwa mpendwa aliesambaza ujumbe huu.

NATANGULIZA SHUKRANI KWA WOTE MTAKAOTUMIA MUDA WENU KUSOMA UJUMBE HUU.
 
Habari wana JF, Heshima yenu wakuu.
...

..

Kwa nini usijiendeleze kwenye kazi hizo zilizotajwa kwenye kipengele G hapo juu?
 
Hapa ndipo unapokuja Umuhimu kati ya College/Institute au Advance yaani hapo mtu mwenye Certificate tu yeyote anakuwa Markertable kuliko wa Advance alafu hakubahatika kuendelea.
Pole sana Mkuu kuna kazi zimetoka naona zinahita Form four leaver tu.

Pitia google cpb hii Taasisi ya serikali ipo Dom imetangaza juzi nafasi za kazi nyingi sana ebu jaribu bahati yako.
 
Duu Hongera kwa kusoma

Magufuli ni rais pekee ambaye licha ya Ukristu wake amefanikiwa kutengeneza urasimu serikalini kwa kuanzisha Tume pamoja sekta pendwa ya kujenga Tarura na kutengeneza ajira rukuki..

Uko mbele hata uwe na mawazo gani ya Job Creation andika tuu ukiona vipi tuma kwa makamu wa Rais kwa sababu huwezi kumfundisha mkristo kutengeneza kazi kwa sababu mtu akifa wanamuweka kwenye Jeneza..

Thamani ya mtu aliyekufa walikuwa hawaijui ni sawa na mchele, maharage, mihongo n.k ipo siku tutatengeneza jeneza lake aka kupack n.k

Pamoja na jeneza kuwekewa mauwa hizi ndiyo faida za mtu kufa:

1. Hupumui

2. Hufikirii hata ban/spam//Job Creation

3. Huendi kazini yaani kutembea

4. Hakuna ndoto maana watoto wanandoto

5. Hakuna kutafsiri ubaguzi

7. Hakuna kusafiri wala kuhudumia gari

8. Hupambanii sifa au uongozi

9. Huna interest

10. Hausomi Gazette, Vitabu n.k

11. Huna gharama za kodi ya nyumba, safari, nguo, kitanda, video au kingamuzi n.k

Kazi ya wakristu moja tu Jeneza na kupambania ideology yangu kwa sababu ya utakatifu tifu..

Hata hivyo zitakuwa mbinu za kupatia wanawake maana wstu kutokuwa na ajira fursa mwanamke leta K kazi fasta..

Kwa hisani ya watu wa marekani

HATA VIPI HATUJI KUWA PAMOJA

Hapa ndipo unapokuja Umuhimu kati ya College/Institute au Advance yaani hapo mtu mwenye Certificate tu yeyote anakuwa Markertable kuliko wa Advance alafu hakubahatika kuendelea.
Pole sana Mkuu kuna kazi zimetoka naona zinahita Form four leaver tu.

Pitia google cpb hii Taasisi ya serikali ipo Dom imetangaza juzi nafasi za kazi nyingi sana ebu jaribu bahati yako.
Tupo wengi mkuu hii imetangazwa lini? Na ntafanyaje kuapply?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom