Natafuta kazi yoyote au kibarua

pesapesa50

Member
Mar 29, 2021
19
29
Habari wakuu,

Mimi ni kijana umri miaka 26 mkazi wa Dsm natafuta ajira yeyote au kibarua.

Elimu: Nina diploma ya electrical engineering
Ujuzi mwingine: mbali na ufundi umeme, pia matumizi ya computer na programs kama (m/s word, excel, powerpoint) programming skills mplab ++c

Nipo tayari kufanya kazi yeyote ngumu na kawaida ambayo ni halali pia.

Ahsanteni
 
bado natafuta wakuu
 
Kila la kheri naiman utapata
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom