Natafuta kazi yeyote iwe kampuni, shirika, mgahawa, kiwanda n.k

Zakia sultani

Member
Dec 14, 2020
53
55
Habari zenu wana JF naitwa zakia sultani(24) nimemaliza digrii ya elimu.

Nimekuja kwenu kama unafahamu/kujua kampuni ama shirika kuna nafasi ya kazi samahani naomba uniunganishe maisha magumu mno.

Namba zangu za simu ni 0683328730 naishi Gongo la Mboto
 
Haujafanya vyema kuweka namba yako ya simu ktk tangazo lako.

#nimtazamotu#
 
Habari zenu wana JF naitwa zakia sultani(24) nimemaliza digrii ya elimu.

Nimekuja kwenu kama unafahamu/kujua kampuni ama shirika kuna nafasi ya kazi samahani naomba uniunganishe maisha magumu mno.

Namba zangu za simu ni 0683328730 naishi Gongo la Mboto
Unaweza kufanya kazi Morogoro?
 
Habari zenu wana JF naitwa zakia sultani(24) nimemaliza digrii ya elimu.

Nimekuja kwenu kama unafahamu/kujua kampuni ama shirika kuna nafasi ya kazi samahani naomba uniunganishe maisha magumu mno.

Namba zangu za simu ni 0683328730 naishi Gongo la Mboto
Unajua wakati nasoma shule kulikuwa kuna hesabu za kukokotoa unemployment Rate ambapo mwalimu alisisitiza idadi ya watu wanaotafuta kazi vis a vis idadi ya kazi zinazotangazwa na kisha wanapata rate ya ukosaji wa ajira.Sasa naona kwa Tanzania inafika 200%Ila usijali dada Utatusua tu kwa uwezo wa Mungu
 
weka kikokotoo hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom