Natafuta kazi ya uuguzi

DALT

Senior Member
Jul 17, 2021
168
74
Hello wakuu natanguliza shukrani kwenu,

Nina mdogo wangu kamaliza kozi ya ukunga ngazi ya cheti, kwa Sasa gharama za kuendelea na diploma zinasumbua hivyo tumeona tumtaftie kazi kwanza.

Kwahiyo, mwenye taarifa kuhusu uhitaji wa kazi hii katika hospitali yeyote anisaidie.
 
Hello wakuu natanguliza shukrani kwenu,Nina mdogo wangu kamaliza kozi ya ukunga ngazi ya cheti ,kwa Sasa gharama za kuendelea na diploma zinasumbua hivyo tumeona tumtaftie kazi kwanza,ko mwenye taarifa kuhusu uhitaji wa kazi hii katika hospitali yeyote anisaidie
Duuh Ningempa kazi Ila Sahiz tupo kwenye mchakato wa kutaka kuweka hosp mahali..ila kutakua na kamchakato kidog!! Sababu inahitaj subira kidogo mpaka ikamilike
 
WADAU TUSEME KUPATA KAZI ASAIV NI CONNECTION NIMEKAA NYUMBANI KARIBIA MWAKA AS SIJAPATA KAZI KOZI YA UUGUZI
 
Jiunge ajira portal /sekretarieti ya ajira huko wanatangaza ajira tofauti tofauti za taasisi mbalimbali za umma (serikali)...mfano wa taasisi hizo ni MUHIMBILI, VYUO MBALIMBALI, na mashirika tofoauti tofauti . So ukijisajili huko ukiona nafasi ya RN (ASSISTANT NURSING OFFICER II) utaomba lakini lazima ujisajili na uwe na akaunti...kujisajili ingia www.ajira.go tz au andika PSRS kisha utafata maelekezo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom