Natafuta kazi ya uuguzi, ukunga na ushauri wa kiafya

Mdada96

Member
Aug 15, 2017
76
153
Mimi ni muhitimu wa uuguzi na ukunga kwa mwaka 2019 mwenye uwezo wa kufanya kazi katika hospitali binafsi, shirika lolote la kiafya kwa kujituma mana ni mtu niipendae kazi angu.

Nina uwezo wa kufanya kazi na taasisi ama shirika lolote la kiafya linalohitaji muelimishaji jamii haswa katika kipindi iki cha mapambano dhidi ya virusi vya corona.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom