Natafuta kazi ya utangazaji vipindi vya watoto na vijana

EvJ

Senior Member
May 3, 2011
194
25
Wadau nisaidieni kwa hili nina degree ya sociology na pia na uzoefu katika fani hii.

Naombeni msaada nisiue kipaji changu.
 
Wadau nisaidien kwa hili nina degree ya sociology na pia na uzoefu katika fani hii.naomben msaada nisiue kipaji changu.

Umesomea Chuo Kikuu Kipi? Kwani Kuna Chuo Kikuu Ambacho Kama Umepitia hapo basi hata Kupata Kwako Kazi ktk Redio au Runinga Itakuwa Ni Rahisi Sana Kwani Kinasifika Kwa Kutoa Waandishi Wa Habari Bora, Maafisa Habari na Uhusiano Bora na Watangazaji Bora.
 
kupata nafasi ya utangazaji ni ndoto nimesota mpaka nabadili fani kwa sasa.
 
Umesomea Chuo Kikuu Kipi? Kwani Kuna Chuo Kikuu Ambacho Kama Umepitia hapo basi hata Kupata Kwako Kazi ktk Redio au Runinga Itakuwa Ni Rahisi Sana Kwani Kinasifika Kwa Kutoa Waandishi Wa Habari Bora, Maafisa Habari na Uhusiano Bora na Watangazaji Bora.

chuo gani hicho mkuu..
 
chuo gani hicho mkuu..

Unauliza BANGI TARIME Mkoani Mara au LONGIDO Mkoani Arusha? Chuo Cha " KWA JINA LA BABA, LA MWANA na LA ROHO MTAKATIFU " Mwezi Wa Nane Kwa Kizungu Kisha Ongeza tu Herufi I, N na E ila Kwa Kwa Kifupi Chake ni Tafsiri Ya Neno hili VOCAL / VOLUME Kutoka Kwa Kiingereza na Kuwa ktk Lugha Adhimu Ya Kiswahili Kilichopo ktk Mkoa Wao Ulitengenezwa Documentary Ya Jinsi Watanzania Wanavyokula Mabaki Ya Mifupa Ya Samaki au MAPANKI AU Mkoa Ambao Mnamo Tarehe 21 May Mwaka 1996 Wahaya Walipukutika Ziwani na Kuliwa na Samaki na Tulilia Sana Watanzania. Hicho ndicho Chuo Kikuu Bora Kwa Journalism na Mass Com Tanzania Nzima na Kinajivunia Wanafunzi Wake Wengi Mno ktk Idara na Taasisi za Umma na Binafsi.
 
Yaani wee jamaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom