Natafuta kazi ya utafiti iwe interviewer au supervisor.

Oct 5, 2012
29
1
Habari zenu wanajukwaa?

Nina utaalamu wa kufanya kazi za utafiti na nimewahi kufanya maeneo yote mjini na vijijini, ni mzoefu katika kazi zangu nikiwa na ujuzi wa kutosha. Kwa yeyote anae hitaji mtu kwa nafasi inayohusiana na kazi yangu naomba tuwasiliane nipo tayari.

Ahsanteni.
 
Habari zenu wanajukwaa?

Nina utaalamu wa kufanya kazi za utafiti na nimewahi kufanya maeneo yote mjini na vijijini, ni mzoefu katika kazi zangu nikiwa na ujuzi wa kutosha. Kwa yeyote anae hitaji mtu kwa nafasi inayohusiana na kazi yangu naomba tuwasiliane nipo tayari.

Ahsanteni.


unafahamu kutumia UMPC na GPS?
 
Mmmh Rashid unatisha una kidato cha sita na ni mtaalam wa Utafiti (Reseach) ebu tueleweshe ujuzi umeupataje ? ulipata course maalumu au ulifanya kazi na watafiti ? je una experience gani ? kwa nia nzuri tu
 
Nimefanya kazi za utafiti tangu wakati nasoma form five nilikuwa nafanya part time wakati wa likizo baada ya kumaliza form six nikaendelea na kazi hiyo hadi wakati huu nimefanya project kama 50 nikiwa na synovate sasa hivi wanaitwa ipsos synovate na hata infinity insight,millward brown,research solution,Rpa na sbo makampuni yote ni ya kenya nimefanya nayo kazi,nimeanza kufanya questionaire kwenye mfumo wa makaratasi mpaka nimetumia Motorola Es400,sumsung galax min na sumsung galax young na Gps nimetumia,nimeanza kama interviewer mpaka sasa ni supervisor.
 
sasa hao uliofanya nao mwanzo vp wana mpango gan kuhusu ww.

kaka yale ni makampuni ya wakenya kuna ukandamizaji sana,kuna watu wamekuwa vibarua kwa miaka sita hawajaajiriwa.hakuna mipango yoyote nimekuwa kibarua tu pindi project ikiwepo.
 
Back
Top Bottom