Natafuta kazi ya usimamizi au recerption, nina uwezo wa kutumia kompyuta kwa maswala ya Masoko

Lidia Elly

Member
Nov 27, 2017
16
6
Naitwa Lidya Elly napatikana Dodoma, natafuta kazi ya usimamizi au recerption kwa dodoma

Ninaelimu ya chuo cha mipango na maendeleo na ninauwezo wa kutumia computer na internet haswa kwa masuala ya marketing

Kwa mawasiliano 0673843407
 
Screenshot_20171123-191650.png
Screenshot_20171123-191737.png
Screenshot_20171123-191758.png
 
Naitwa Lidya Elly napatikana Dodoma, natafuta kazi ya usimamizi au recerption kwa dodoma

Ninaelimu ya chuo cha mipango na maendeleo na ninauwezo wa kutumia computer na internet haswa kwa masuala ya marketing

Kwa mawasiliano 0673843407
Weka picha
 
Habari wana JF, natafuta kazi au tenda mimi lidya elly [24] niko dododma nina elimu ya diploma ya mipango na maendeleo na nina ujuzi mzuri wa mambo ya computer na ninauwezo wa kufanya tenda yoyote ilimradi iwe inalipa vizuri ,naomba msaada wenu wa kupata tenda hiyo 0673843407 [I TRUST IN GOD]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom