Natafuta kazi ya usafi ofisini , nyumbani , kufua nguo nipo Kahama.

Hiyo sikuwa mimi .. Nilikuwa namtafutia Mdogo wangu yupo dar na siyo mimi... Na kwa bahati nzuri alifanikiwa kupata kwani kunamtu nilimuunganisha naye...
kwahiyo we ni wakala naona, hongera kwa kujiajiri kwa staili hyo mkuu
 
NATAFUTA KAZI
Mimi ni kijana mwenye miaka 29 elimu yangu ni kidato cha sita (class of 2010),Natafuta kazi yoyote iwe ya ulinzi(kwamtu binafsi),kufundisha watoto,muhudumu wa bar au nyumba ya kulala wageni,usafi wa mazingira,kuuza duka,kufuata mizigo popote(kumsaidia mfanya biashara),kumtafutia mtu mchumba,kudai madeni kwa niaba,kusaidia wageni wa mkoa na kuwaonyesha sehemu mbali mbali,kutuma bidhaa mbali mbali zikukute popote ulipo,kusimamia kazi,kuwa shahidi au mpambe,kukutafutia mganga wa jadi au mchungaji,kupeleleza kitu flani,kutafuta ushahidi wa jambo lolote nk
Niko Kigoma mjini,
nitafute 0683058485
 
Back
Top Bottom