- Thread starter
- #21
Sawa ndugu....Dada nakuunga mkono,kazania unachokiamini na utafanikiwa. Fanya sana promo Instagram tena za kutosha na niamini mm utatoboa.
Maisha ni utakavyo na ukidhamiria lazima ufanikiwe.
Sawa ndugu....Dada nakuunga mkono,kazania unachokiamini na utafanikiwa. Fanya sana promo Instagram tena za kutosha na niamini mm utatoboa.
Maisha ni utakavyo na ukidhamiria lazima ufanikiwe.
Mtoto miezi 6, mimba miezi mingapi? Kazi za kufua ni nyingi sana nenda kwene mahostel ya vyuo hasa kwa wadada hawapendagi kufua utawafuliaBado, ila hicho siyo kikwazo kwangu cha kunizuia nisipige kazi kwani nipo vizr siugui ovyo...
Angalia ofisi ya ccm.iliyokaribu nawe watakupa ajira.Sina , ila naomba msaada wako tuu hata kazi nyingine yeyote ile halali nafanya pia.. Nisaidie mdada mwenzio
Pia najishughulisha na biashara ya ice cream nina kijana wa kunizungushia , ila naona nizidi kujitafutia riziki huku na Kule... Ikitokea nikapata kazi nafanya pia sitoacha kujiajiri maana itaniwezesha zaidi kufanikiwaKweli kuna haja ya watu kufunzwa elimu ya maisha na mafanikio tuwe na mbadala nje ya elimu ya darasani,komaa tu usikate tamaa ukipata ka mtaji kidogo Fanya biashara ya kuangalia mahitaji ya watu kwenye eneo linalokuzunguka mfano watu wa eneo lako wanataka bidhaa zipi ukishafanya stadi nenda sehemu au dukani,sokoni,shambani,nk vinapopatikana vitu hivo utakuwa huna Pesa jidhamini Kwa mali kauli, au kopa MTU hela chache,au jidhamini Kwa Mjumbe,kisha chukua vitu au bidhaa hizo pelekea wausika ukipata Pesa rudisha ulipopewa bidhaa pia usipouza irudishe bidhaa jioni kabla hawajafunga ilipotoka.Kesho tena endelea hivo tena na tena usikate tamaa km ukiuza weka uaminifu na uvumilivu mbele huku ukitanua soko lako Kwa kuongeza wateja baada ya mda usipokata tamaa utajikuta unakuwa na mtaji Mkubwa tu wa kuweza kufanya makubwa, na hata usitamani kuajiriwa sababu ajira zenyewe mishahara ni kiduchu si zaid ya kuvaa,usafiri na kula na kuuza sura mjini wkt mda unaenda.weka degree pembeni vaa ujasiri ondoa aibu,ila usichoke kuomba application za kazi sababu waajiri huwa wanazitunza barua zenu siku iso na jina ukiwa umeshasahau unajikuta unaitwa ukaanze kazi.
Pia najishughulisha na biashara ya ice cream nina kijana wa kunizungushia , ila naona nizidi kujitafutia riziki huku na Kule... Ikitokea nikapata kazi nafanya pia sitoacha kujiajiri maana itaniwezesha zaidi kufanikiwa
Sawa na aksante kwa ushauri wakoUkishaamua kujiajiri achana na elements za kutaka kuajiriwa tena. Huezi kua mjasiriamali at the same time umeajiriwa mahali.
Jiamini na weka malengo na siyo kutanga tanga
Umekosa KaziSina, ila naomba unisaidie kama inawezekana pia kazi yoyote ile halali naweza Fanya,
Kwa hiyo faida kwa mwaka huyo mtu hali, havai hana mahitaji?10,000 inayoingiza 200 kwa siku NI SAWA NA 73,000 kwa mwaka!
Hapo utakuwa na uwezo wa biashara ya 80,000
Kwa hiyo faida kwa mwaka huyo mtu hali, havai hana mahitaji?
Sometimes we have to be realistic kuliko kupeana moyo tu
No wonder ndiyo maana kasema anauza ice cream lakini bado anatafuta kazi kwakuwa bado haja full fill her needsHuko anakoishi sasa hali? Havai?
Formula yako haiwezi kuwa right if you dont consider kwamba lazima kuwe na expenses kwenye hiyo biashara.Au ndo nyie mnaanziaga 3 badala ya 1?
Hesabu hazidanganyi
so my formula is right!
Hii inafuta ushauri wako wa mwanzo uliompa kwamba no matter what she encounters, asijiuze ila hapa bado deep down una element za fikra kwamba to some point a woman problems can be solved by giving herself to a man.Basi muoe kama unaona njia yangu ina ...
Sijakataa kuwa someone has to be begin somewhere lakini be realistic kwamba kuanza na 10,000 ukiweka 200 kama faida kwa mwaka uwe na 73,000 kama faida ujumlishe na 10,000 iwe 83,000 is unrealistic.but everyone must begin with a 0
and sometimes -4 can be a perfect starting point!
Umaanishe mkuu maana mi ndo kaka yakeUna kaka?
Ana kazi?
Nikimsaidia atakusaidia?
Niunganishe naye upate kazi!
Ww dada nilishaanza kuhisi mabaya juu ya ubongo wakoUna kaka?
Ana kazi?
Nikimsaidia atakusaidia?
Niunganishe naye upate kazi!
No wonder ndiyo maana kasema anauza ice cream lakini bado anatafuta kazi kwakuwa bado haja full fill her needs
Formula yako haiwezi kuwa right if you dont consider kwamba lazima kuwe na expenses kwenye hiyo biashara.
Unaongea as if una assume anaish kwa wazazi au kwa mtu so hanunui chakula wala hana daily expenses!
Hii inafuta ushauri wako wa mwanzo uliompa kwamba no matter what she encounters, asijiuze ila hapa bado deep down una element za fikra kwamba to some point a woman problems can be solved by giving herself to a man.
Kwako kuolewa ni kati ya njia ambazo mwanamke anaweza tatua matatizo yake ya kifedha.
Sijakataa kuwa someone has to be begin somewhere lakini be realistic kwamba kuanza na 10,000 ukiweka 200 kama faida kwa mwaka uwe na 73,000 kama faida ujumlishe na 10,000 iwe 83,000 is unrealistic.
Hata kama ni hesabu kuna factors nyingi na kubwa umeziruka kiasi kwamba ume exceed margin of errors.
Sijakupania dada nilikuwa najaribu kujenga hoja..wewe hujanijibu
wewe umenipania
mwenye shida achukue vya msingi anavyoviona kwenye post yangu
otherwise MAISHA HAYANA VERIFIED FORMULA