Habari wana jf, mimi ni mdada, mwenye umri wa miaka 25, nina degree ya public Administration. Nimetafuta kazi hazipatikani nimeamua kujiajiri kwa kufanya kazi ya usafi ofisini, kwenye kumbi mbalimbali, nyumbani na hata kufua nguo vizuri na kunyodha kwa bei rahisi.
Nipo kwangu, ila nafanya kazi hizo kwa part time kulingana na uhitaji wa mteja .
Kwa yeyote mwenye kazi kama hiyo na anahitaji mtu wa kumfanyia tafadhari ni Pm nikupe namba yangu ili nikufanyie haraka ..
Aksanteni naombeni mnipe hizo kazi nipo kahama mjini, ukinihitaji nitakufuata popote ulipo. Na nitafanya kazi yako kikamilifu bila shaka utafurahi