Imphuvyi
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 224
- 151
- Thread starter
- #21
Alisema makubaliano awali ilikuwa 400k, alikini alipofika akamwambia atakuwa anamlipa kwa kila siku 13000=390k, kwa maelezo yake anasema hilo kwake halikuwa tatizo, tatizo limekuja kwenye makubaliano ya mahala pa kulala, muda masaa ya kazi na hizo hudumu nyingine za matibabu. Pia anasema ya kwamba walikubalina kufanya kazi kwa mkataba! Yaani watakuwa wanapeana mkataba wa ajira ya muda. Lakini yote hayo yakawa tofauti baada ya huyo chef kufika eneo la kazi.Analipwa shingapi