Natafuta kazi ya upishi kwenye Hotel au Mgahawa

Imphuvyi

Senior Member
Aug 6, 2018
135
225
Analipwa shingapi
Alisema makubaliano awali ilikuwa 400k, alikini alipofika akamwambia atakuwa anamlipa kwa kila siku 13000=390k, kwa maelezo yake anasema hilo kwake halikuwa tatizo, tatizo limekuja kwenye makubaliano ya mahala pa kulala, muda masaa ya kazi na hizo hudumu nyingine za matibabu. Pia anasema ya kwamba walikubalina kufanya kazi kwa mkataba! Yaani watakuwa wanapeana mkataba wa ajira ya muda. Lakini yote hayo yakawa tofauti baada ya huyo chef kufika eneo la kazi.
 
Shomary47

Member
Feb 12, 2021
55
125

Alifanya kwa muda gani ? Kama alikua analipa per day kwann asidudulize apange chumba chake, na kazi ziendelee.
 
Mwita Mtu Mrefu

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
746
1,000
Analipwa shingapi
Analipwa laki 4 mkuu na mm ndio nimempa connection kwa makubaliano ya malipo.
Cha ajabu ananiambia kazi ni mbaya sana

Na analipwa per day.

Kapewa nauli nusu kutoka dar kaja hadi mwanza

Nipo nae hapa japo hanijui, naongea na boss wake
IMG_20210503_130601_944.jpg

Boss amekana madai ya huyu kijana kuhusu accomodation na matibabu

Jamani kimgahawa kidogo hivi upewe mambo yote hayo?
 
Imphuvyi

Senior Member
Aug 6, 2018
135
225
Alifanya kwa muda gani ? Kama alikua analipa per day kwann asidudulize apange chumba chake, na kazi ziendelee.
Hiyo sasa ni binafsi yake, pia anadai kilichomkatisha tamaa zaidi, huho bwana alimuunganisha na hiyo kazi ni dalali, hivyo akawa anamsumbua pia anataka malipo yake ya mwezi 400k, na ukizingatia kazi aliyoitiwa ikawa tofauti na makubalino, akaona mambo ni yamekuwa mengi. Nadhani hiyo pia ikachangia ktk vitu vilivyomkatisha tamaa.
 
Mwita Mtu Mrefu

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
746
1,000
Alisema makubaliano awali ilikuwa 400k, alikini alipofika akamwambia atakuwa anamlipa kwa kila siku 13000=390k, kwa maelezo yake anasema hilo kwake halikuwa tatizo, tatizo limekuja kwenye makubaliano ya mahala pa kulala, muda masaa ya kazi na hizo hudumu nyingine za matibabu. Pia anasema ya kwamba walikubalina kufanya kazi kwa mkataba! Yaani watakuwa wanapeana mkataba wa ajira ya muda. Lakini yote hayo yakawa tofauti baada ya huyo chef kufika eneo la kazi.
Mkuu nakuona kabisa ww ndio unajibu post.

Acha utoto
 
Mwita Mtu Mrefu

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
746
1,000
Hiyo sasa ni binafsi yake, pia anadai kilichomkatisha tamaa zaidi, huho bwana alimuunganisha na hiyo kazi ni dalali, hivyo akawa anamsumbua pia anataka malipo yake ya mwezi 400k, na ukizingatia kazi aliyoitiwa ikawa tofauti na makubalino, akaona mambo ni yamekuwa mengi. Nadhani hiyo pia ikachangia ktk vitu vilivyomkatisha tamaa.
Ukiendelea kuandika ujinga ntapost picha zako jf.

Niko hapa na boss wako tunakusoma tu.

Kaka kuwa mstaarabu nimekuunganisha na kazi kiungwana kabisa.

Udalali ni kazi yangu inayoniweka mjini

Screenshot_20210503-124455.png
Screenshot_20210503-124524.png

Wapi hapa nilikuomba laki 4?

Jamaa huyu ni mchochezi
 
Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
63,913
2,000
Analipwa laki 4 mkuu na mm ndio nimempa connection kwa makubaliano ya malipo.
Cha ajabu ananiambia kazi ni mbaya sana

Na analipwa per day.

Kapewa nauli nusu kutoka dar kaja hadi mwanza

Nipo nae hapa japo hanijui, naongea na boss wake View attachment 1772002

Boss amekana madai ya huyu kijana kuhusu accomodation na matibabu

Jamani kimgahawa kidogo hivi upewe mambo yote hayo?
Aisee
 
Mwita Mtu Mrefu

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
746
1,000
Disko kaingia mmasai..!
Mkuu huyu kijana hana ustaarabu kabisa

Mpishi aliekuwepo alikuwa analipwa 250k tu. Yeye anakula 390k

Kula hapa hapa

Kulala wanalala washkaji wanne

Yeye anataka awe treated like yuko serena hotel jaman wakat ndio kwanza kaanza maisha

Nili cancel job requests 6 nikamchagua yeye bila kujali yuko mbali kiasi gani

Sasa hivi ndio ananitupia lawama kubwa sana jaman
 
Dogo kaamua kupeleka digrii jikoni
 
Mwita Mtu Mrefu

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
746
1,000
Hiyo sasa ni binafsi yake, pia anadai kilichomkatisha tamaa zaidi, huho bwana alimuunganisha na hiyo kazi ni dalali, hivyo akawa anamsumbua pia anataka malipo yake ya mwezi 400k, na ukizingatia kazi aliyoitiwa ikawa tofauti na makubalino, akaona mambo ni yamekuwa mengi. Nadhani hiyo pia ikachangia ktk vitu vilivyomkatisha tama

Dah umeamua kumvua nguo tapeli hahahah
Jamaa wa ajabu sana huyu.
Anaonekana ana uanaume wa Dar huyu hatulizi mdomo.

Yeye analipwa mshahara mkubwa kuliko hata staff wengine lakini hajatulia
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom