Natafuta kazi ya upishi katika Jiji la Mwanza

Ongea na watu waliokaribu na wageni hasahasa wazungu hupenda kuajiri houseboy ambaye kujua kupika kwako kunakuongezea thamani kupata ajira! Kama ungekuwa Dar ningekushauri kutembelea Bar au Pub za Oystabay na Masaki na kifanya urafiki na wahudumu wa hizo baada wangekuunganishia mchongo. Nimeona vijana wawili wakipata kazi kimasiala
 
Fuata huu ushauri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom