Natafuta kazi ya ukutubi (librarian),data entry,record management,customer care, receptionist and personal assistant.

Maberygirl

New Member
Jun 2, 2021
2
3
Habari wana JF.

Mimi ni kijana umri miaka 27 ninaishi Ubungo,Dar es salaam Tanzania

Nina degree ya library and information studies natafuta kazi ya ukutubi katika shule au vyuoni pia ninauzoefu wa kazi hii.

pia ninatafuta kazi ya kutunza kumbukumbu (record management) katika ofisi yeyote au shirika lolote.

Pia natafuta kazi ya receptionist, najua kuongea kingereza na kukiandikika. Nina talanta ya kukalimu pia bila kusahau nina experience ya customer care niliyofundishwa darasani na niliyokuwa nayo toka nikiwa mdogo (yes nimeuza duka la nyumbani nikiwa mdogo mpaka ukubwani) so ninaweza muhudumia mteja yeyote yule na akafurahia huduma yangu.

Pia natafuta kazi ya Personal Assistant nitume popote nami nitaenda kwa uaminifu mkubwa maana pia napenda kutumwa na kuwa busy kila wakati.

Mimi ni mwaminifu ila kiuaminifu zaidi nitaweka rehani cheti changu cha kuzaliwa,kitambulisho cha taifa na cha kupigia kura pale kitakapohitajika.

Kwa mawasiliano zaidi napatikana 0754831451 au ushermabely@gmail.com

Asanteni sana.
 
Vzr,Subir waje kukup msaada
Wewe kwa nn usimpe mpaka useme wanakuja.

Ndo mana kufikia mabadiliko nchi hii ni ngumu....kila mtu anadhani mwingine atasaidia ,na hao wanaosemwa wanakuja nao watasema wengine wanakuja...

Nchi imekaa ki ujanja ujanja.
 
Habari wana JF.

Mimi ni kijana umri miaka 27 ninaishi Ubungo,Dar es salaam Tanzania

Nina degree ya library and information studies natafuta kazi ya ukutubi katika shule au vyuoni pia ninauzoefu wa kazi hii.

pia ninatafuta kazi ya kutunza kumbukumbu (record management) katika ofisi yeyote au shirika lolote.

Pia natafuta kazi ya receptionist, najua kuongea kingereza na kukiandikika. Nina talanta ya kukalimu pia bila kusahau nina experience ya customer care niliyofundishwa darasani na niliyokuwa nayo toka nikiwa mdogo (yes nimeuza duka la nyumbani nikiwa mdogo mpaka ukubwani) so ninaweza muhudumia mteja yeyote yule na akafurahia huduma yangu.

Pia natafuta kazi ya Personal Assistant nitume popote nami nitaenda kwa uaminifu mkubwa maana pia napenda kutumwa na kuwa busy kila wakati.

Mimi ni mwaminifu ila kiuaminifu zaidi nitaweka rehani cheti changu cha kuzaliwa,kitambulisho cha taifa na cha kupigia kura pale kitakapohitajika.

Kwa mawasiliano zaidi napatikana 0754831451 au ushermabely@gmail.com

Asanteni sana.
Unaweza kusimamia mgahawa? Unaweza kwenda mkoani?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom