Natafuta kazi ya uhasibu Mbeya...

simon baker

JF-Expert Member
Oct 5, 2017
519
690
Habari ndugu...
Nimehamia mbeya kutafuta maisha...
Najihusisha na biashara binafsi kwa sasa ila ningependa pia kuwa na fulltime job as an accountant...
Nina ujuzi wa fani ya uhasibu kwa miaka minne...
Naomba niwasilishe tangazo hili.
CV ntashare kwa mtu yeyote akihitaji PM...
 
Wasalimie huko, ila kama haujaoa angalia sana wanawake wa huko kama sumaku.
 
Habari ndugu...
Nimehamia mbeya kutafuta maisha...
Najihusisha na biashara binafsi kwa sasa ila ningependa pia kuwa na fulltime job as an accountant...
Nina ujuzi wa fani ya uhasibu kwa miaka minne...
Naomba niwasilishe tangazo hili.
CV ntashare kwa mtu yeyote akihitaji PM...
karibu sana Ndugu
 
Habari ndugu...
Nimehamia mbeya kutafuta maisha...
Najihusisha na biashara binafsi kwa sasa ila ningependa pia kuwa na fulltime job as an accountant...
Nina ujuzi wa fani ya uhasibu kwa miaka minne...
Naomba niwasilishe tangazo hili.
CV ntashare kwa mtu yeyote akihitaji PM..

Similar Discussions

Back
Top Bottom