Natafuta kazi ya Uhasibu au mtunza store

kaxno

Senior Member
Sep 11, 2012
134
250
Habari zenu wana jamvi,

Kama kichwa cha habar cha bandiko hili kinavyoeleza. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, ni mhitimu wa shahada ya kwaza ya uhasibu na nina uzoefu wa miaka 5 kwenye fani ya uhasibu na kutunza store(inventory management). Naomba msaada wa kupata kazi mkoa wowote iwe ya parmanent au ya contract. Nawasilisha
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom