Natafuta kazi ya Uhasibu (Accountant)/ Finance.

Oct 19, 2017
5
4
Habari wana JF.
Natafuta kazi ya uhasibu( Accountant) , Finance, Internal Auditor au inayohusiana na uhasibu. Nimesoma degree ya Uhasibu na Fedha (Bachelor degree of Accounting and Finance) 2016. Nina uzoefu wa miezi 8 pia bado sijapata CPA.
Hivyo naombeni msaada wenu kwa yeyote atakae guswa.

Mawasiliano.
0658573131/ 0752953481
josephngereja@gmail.com

Naishi Mbagara Zakhiem
Dar es Salaam.
 
Zoomtanzania.com, ajira.go.tz unaingiaga. Humo kuna kazi nyingi zinatangazwa
 
Back
Top Bottom