Natafuta kazi ya ufundi umeme.

Makbel

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
771
195
Mimi ni fundi umeme niliyehitimu mafunzo ya ufundi umeme tokea mwaka 2006. Nina uzoefu wa kufanya kazi ya Wiring kwenye majengo, kutrace Fault, kufunga Contactor katika control circuit. Na kazi zote zinazohusu umeme wa majumbani au viwandani. Kwa sasa natafuta kazi ya ufundi umeme kwenye mashirika, makampuni yanayoshughulika na minara ya simu,ujenzi wa nyumba au Macontractor waliojiajiri katika usimamizi na ujenzi wa majumba. Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kwa namba hizi: 0787577755, 0767577755 na 0717577755. Email: mac.triple7@gmail.com
 

khamiry

New Member
Oct 16, 2014
1
0
Natafuta kazi ya ufundi umeme.


Mimi ni fundi umeme niliyehitimu mafunzo ya ufundi umeme tokea mwaka 2014. Nina uzoefu wa kufanya kazi ya Wiring kwenye majengo, kutrace Fault, kufunga Contactor katika control circuit. Na kazi zote zinazohusu umeme wa majumbani au viwandani. Kwa sasa natafuta kazi ya ufundi umeme kwenye mashirika, makampuni yanayoshughulika na minara ya simu,ujenzi wa nyumba au Macontractor waliojiajiri katika usimamizi na ujenzi wa majumba. Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kwa namba hizi o714106480
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom