natafuta kazi ya ufundi umeme

Kijana Jr

JF-Expert Member
May 12, 2016
546
1,000
Umri wangu ni miaka 26 Nina level three ya electrical and automation natafuta kazi ya ufundi umeme wa majumbani au maofisini,,viwandani nk niko Dar es salaam ilala
 
Kijana Jr

JF-Expert Member
May 12, 2016
546
1,000
uko vizuri kwenye Ladder Logic ?
yah mkuu but sio sana ila najua ladder diagram kuzisoma vizuri tu kama kuna sehemu naweza pata kazi kwa kujitolea ili nipate experience vizuri nipo teyari mkuu ila kwa mkoa huu wa dar es salaam tu mkuu
 
Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
9,782
2,000
Pambana uwe unajua kila kitu. Maana ww ndio mtaalamu
yah mkuu but sio sana ila najua ladder diagram kuzisoma vizuri tu kama kuna sehemu naweza pata kazi kwa kujitolea ili nipate experience vizuri nipo teyari mkuu ila kwa mkoa huu wa dar es salaam tu mkuu
 
Executor

JF-Expert Member
Sep 29, 2014
796
1,000
Automation...!? Ulipiga wapi hii course mzee...
Course safi sana hii, ila ninachosikia Tz hawatoi automation yenyewe kabisa, yani ni kama introduction tu...
 
mkuu hii coz ni vipengere vichache tu mkuu kama sio kuzama ndani ndani mnapigwa msasa juu juu tu mkuu kama tungekua tunapigishwa nondo ndani ndani aisee bongo tunge kuwa mbali kwenye. kutengeneza maroboti
 
alongakeke

Member
Feb 3, 2017
99
225
Umri wangu ni miaka 26 Nina level three ya electrical and automation natafuta kazi ya ufundi umeme wa majumbani au maofisini,,viwandani nk niko Dar es salaam ilala nina uzoefu wa kutosha.
mawasiliano 0712046672
Karibu Fulgent Careers, washauri wa masuala ya elimu na ajira ndani na nje ya nchi. Hudu ma ya kutafutiwa kazi ni Tsh 10 000 tu. 0769 524 022.
 
Mpombote

JF-Expert Member
Dec 19, 2017
1,924
2,000
Karibu Fulgent Careers, washauri wa masuala ya elimu na ajira ndani na nje ya nchi. Hudu ma ya kutafutiwa kazi ni Tsh 10 000 tu. 0769 524 022.
We boya umekula BANN nini😀😀😀 na ule utapeli wako.

Hata kuandika Haujui yaani Angalia hapo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom