Natafuta kazi ya ufundi bomba!

brocode

Member
Jul 3, 2019
48
30
Me nikajana ambaye nmemaliza chuo cha maji na ninauzoefu mzuri wa kufunga maji majumbani na kufanya tasmin ya uhataji wa mabomba na michoro ya nyumba yako pia ninafanya marekebisho madogo madogo katika maeneo yote yenye mabomba.

Karibuni sanaaa
 
Mbona hujaelezea unapatikana mtaa gani?mkoa gani?
 
Me nikajana ambaye nmemaliza chuo cha maji na ninauzoefu mzuri wa kufunga maji majumbani na kufanya tasmin ya uhataji wa mabomba na michoro ya nyumba yako pia ninafanya marekebisho madogo madogo katika maeneo yote yenye mabomba.

Karibuni sanaaa
Morogoro ldara ya maji walitangaza nafasi za wasoma mita za maji, waliosomea mabomba (nafasi kumi) Google angalia kama hawajafikia deadline kupokea maombi.
 
Back
Top Bottom