Natafuta kazi ya udereva nina leseni darajan la C1, C2, C3, E, B, D

kingkaka_12

Member
May 17, 2021
8
5
Habari wana jamii,

Naitwa Hamza natokea mkoa wa mwanza nilikuw natafuta kazi ya udereva nina uzoefu mwaka wa sita huu nimefanya kazi ya usafirishaj abiria manyara pia na mwanza nafanya private driver nina darajan la C1, C2, C3, E, B, D nimechukuw mafunzo ya udereva chuo cha VETA na niko tayari kufanya kazi mkoa wowote.

Kwa yoyote atae niitaji napatikan kwa number 0744185019.

Niwatakie siku njema.
 
Back
Top Bottom