ELIAS MICHAEL MORRIS
JF-Expert Member
- Sep 26, 2016
- 385
- 298
Hakika changamoto ya ajira imekua kubwa na maisha yanazidi kutubana. mimi ni dereva, nina ujuzi na nimesomea kozi mbali mbali za udereva kama HEAVY TRUCK kozi katika chuo cha VETA, pia PSV kozi katika chuo cha N.I.T, na nina clas A.B.C1.C2.C3.E.D driving licence. nina uzoefu wa miaka sita (6) na rekodi nzuri barabarani.
ila ajira zimekua ngumu, natamani nijiajiri ila mitaji sina. tafadhali mwenye msaada wa ajira au hata kibalua cha mda au anayejua wapi naweza nikapata ajira naomba anisaidie,iwe kuendesha gari la shule, mizigo, mtu binafsi (family), kukodisha, safari, dala dala na yoyote atakayoiona inanifaa kutokana na sifa na ujuzi wangu, mi ntafanya, naishi Dar es salaam ila nitafanya kazi mkoa wowote, naandika na kuongea vizuri English na kiswahili,
/a5b3329263c33f5a1d617e99047905f6.jpg[/IMG]