Natafuta kazi ya udereva

ELIAS MICHAEL MORRIS

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
385
298
Hakika changamoto ya ajira imekua kubwa na maisha yanazidi kutubana. mimi ni dereva, nina ujuzi na nimesomea kozi mbali mbali za udereva kama HEAVY TRUCK kozi katika chuo cha VETA, pia PSV kozi katika chuo cha N.I.T, na nina clas A.B.C1.C2.C3.E.D driving licence. nina uzoefu wa miaka sita (6) na rekodi nzuri barabarani.
ila ajira zimekua ngumu, natamani nijiajiri ila mitaji sina. tafadhali mwenye msaada wa ajira au hata kibalua cha mda au anayejua wapi naweza nikapata ajira naomba anisaidie,iwe kuendesha gari la shule, mizigo, mtu binafsi (family), kukodisha, safari, dala dala na yoyote atakayoiona inanifaa kutokana na sifa na ujuzi wangu, mi ntafanya, naishi Dar es salaam ila nitafanya kazi mkoa wowote, naandika na kuongea vizuri English na kiswahili,
8e3cc4260941be3acea98114511c5187.jpg
/a5b3329263c33f5a1d617e99047905f6.jpg[/IMG]
 
Nitumie picha yako hapa 0714045080.
Niku jaji Mimi kabla sijakuunganisha kazi IPO Zanzibar gari ton 3.kampuni yaujenzi yawahindi .. Wamenipigia nilishafanyanao kaz zaidi ya miaka 7niliacha nimejiajiri... Kama upo serious ila sipendi lawama naomba uaminjfu uchapakazi ndivyo vilinibeba Mimi mpaka Leo wananihitaji uwe tayari kunipa kamishen ila sitaitumia mpaka unambie kazi unaiweza au laa.
 
Hakika changamoto ya ajira imekua kubwa na maisha yanazidi kutubana. mimi ni dereva, nina ujuzi na nimesomea kozi mbali mbali za udereva kama HEAVY TRUCK kozi katika chuo cha VETA, pia PSV kozi katika chuo cha N.I.T, na nina clas A.B.C1.C2.C3.E.D driving licence. nina uzoefu wa miaka sita (6) na rekodi nzuri barabarani.
ila ajira zimekua ngumu, natamani nijiajiri ila mitaji sina. tafadhali mwenye msaada wa ajira au hata kibalua cha mda au anayejua wapi naweza nikapata ajira naomba anisaidie,iwe kuendesha gari la shule, mizigo, mtu binafsi (family), kukodisha, safari, dala dala na yoyote atakayoiona inanifaa kutokana na sifa na ujuzi wangu, mi ntafanya, naishi Dar es salaam ila nitafanya kazi mkoa wowote, naandika na kuongea vizuri English na kiswahili,
8e3cc4260941be3acea98114511c5187.jpg
/a5b3329263c33f5a1d617e99047905f6.jpg[/IMG]
Sikunyjngine mobile number uweke
 
PIGA NAMBA HII MUDA WA KAZI TU: 022 286 2330
 
nzalendo
 
Jamani namimi natafuta kazi ya udereva nina lesen C C1 C2 C3 NA A B D E nitafurai kama mtani saidia kupata kaz 0785837710
 
usijali ndg mungu yupo atatukwamua ktk janga hili la ukosefu wa ajira lililotukumba vijana weng wa tz, angalizo, when we get a job we have to invest in proper way,
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom