Natafuta kazi ya Udereva wa kujitolea, nina uzoefu wa mwaka mmoja

James Munishi

Member
Oct 3, 2021
18
17
Habari zenu,

Naombeni Kwa mtu mwenye company, biashara, taasisi binafsi anahitaji dereva anicheki nijitolee mpaka atakapoona nastahili kulipwa.

Nina uzoefu wa mwaka mmoja, nina driving license hai class A B C1 C2 C3 D E.

Mawasiliano: 0622210814

Asanteni sana
 
Back
Top Bottom