Natafuta kazi ya udereva wa gari ndogo za Wanafunzi

Mteule halisi

Senior Member
Oct 21, 2014
153
225
Habari wanajamvi, mbele yenu ni dereva mwenye elimu ya stashahada ya manunuzi na ugavi, pia nina fani ya udereva na leseni yenye madaraja C1, C2, C3, D na E.

Natafuta kazi ya kuendesha wanafunzi kwa gari ndogo (noah, hiace n.k), au hata ikipatikana gari ya mkataba kwa kazi ya uber iwe Passo, IST, suzuki swift, vits n.k pia ntashukuru, napatikana Dar es salaam lakini pia ikipatikana kazi hata mikoa ya karibu pia naweza kwenda kufanya kazi.

Napatikana kwa namba 0688066177 karibuni.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom