Natafuta kazi ya udereva nipo Arusha

tembothegreat

Member
Oct 10, 2018
54
52
Habari zenu humu ndani, natafuta kazi udereva, naishi Arusha, umri wangu ni miaka 28 na nina cheti cha VETA PSV leseni yangu ina madaraja A B C1 na D nimesoma mpaka form 4 na pia ninaongea kingereza kizuri mno namba za simu ni 0766978438.
 
habari zenu humu ndani, natafuta kazi udereva, naishi arusha, umri wangu ni miaka 28 na nina cheti cha VETA PSV leseni yangu ina madaraja A B C1 na D. Nimesoma mpaka form 4 na pia ninaongea kingereza kizuri mno. Namba za simu ni 0766978438.
Tembelea hapa mkuu www.ajira.go.tz ukiwa serious mwaka 1 humalizi umetoboa ila tu muhimu kuacha ile dhana ya tayari wana mtu wao maana madereva wa hiyo class C naonaga serikalini zinatoka sana kapambane mkuu.
 
Ungekuwa unatembelea tume ya utumishi wa ajira mpaka sasa ungekuwa umeshapata muda sana kwasababu kila taasisi nafasi za madereva zinatangazwa na hii mara ya mwisho walikuwa wametangaza nafasi 8 manispaa ya kigamboni. Uwe unatembelea kila mara kwasababu madereva wengi hawakufika form four na kuwa na sifa kama zako, hivyo huwa hakuna ushindani mkubwa wa nafasi ukilinganisha na nafasi nyingine. Jaribu hili ukiomba mara kumi naamini kabisa utakuwa mojawapo umeshapata kupitia WWW.ajira.go.tz. Usije ukaomba mara tatu ukakata tamaa, jione tu hapo una nafasi yako moja piga uwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom