Natafuta kazi ya udereva na ufundi pia naweza

msema_kweli

Senior Member
Nov 6, 2013
178
101
Mimi ni kijan mtanzani ni dereva na fundi mechanical,nauzoefu wa kutosha kwenye udereva na ufundi on mesoma chuo cha NIT udereva na chuo cha ufundi VETA niko tayari kufanya kazi popote Tanzania madaraja niliyonayo ni A A1 B C C1 C2 C3 D na E mawasiliano yangu ni
0784 619897

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom