Natafuta kazi ya ualimu wa mathematids na ICT.

linus_leon

New Member
Dec 5, 2017
2
0
Mimi ni Linus Mrosso mwitimu wa chuo cha Mwenge Catholic University, Nina elimu ya level ya degree (Bachelor of Education In Science) natafuta kazi naomba msaada wako kama unajua shule yeyoye inaotafuta mwalimu wa masomo tajwa hapo juu basi nijulishe kwa 0712594588 au 0757097051
 
Ni muhitimu na sio Mwitimu.

All the best mkuu.
 
Uko wap
Kama upo kusini, iringa waweza sogea na kama upo kaskazini arusha itakuhusu
IMG-20190815-WA0006.jpeg
tapatalk_1565868337279.jpeg
 
Mkuu jaribu kutembelea shule hizi saint huwa wanazingatia sana ICT.

Naamini utapata nafasi kwa upande huo, hata hesabu walimu wanahitajika.
Shule kama Loyola, Marian, St Mathew, Baobab na nyingine nyingi.

Hapa nazungumzia kama utakuwa Dar na maeneo ya karibu na Dar.
Otherwise cheki shule za caliber hiyo hapo ulipo.

Kil la kheri mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom