Natafuta kazi ya ualimu shule ya private Mbeya, Masomo Physics na Chemistry

Complicator

JF-Expert Member
Aug 23, 2013
2,198
3,579
Natafuta ajira baada ya kukosa mtu wa Kubadilishana naye kituo,shule iwe Mbeya mjini au Iringa mjini.
Nafundisha physics na chemistry
Uzoefu wa kazi miaka miwili
 
Natafuta ajira baada ya kukosa mtu wa Kubadilishana naye kituo,shule iwe Mbeya mjini au Iringa mjini.
Nafundisha physics na chemistry
Uzoefu wa kazi miaka miwili
Je naweza kupata ualimu hapo mmi nimemaliza chuo sahvi masomo ni geography na Kiswahili
 
Yaani uache kazi halafu uende kutafuta kazi au sijaelewa...
 
Ila Private mwanangu labda iwe ya Kanisa au Shirika/ Taasis flani inayoeleweka. Shule za private za Sekondari nyingi hasa zinazomilikiwa na watu binafsi zinayumba na zinaelekea kufa. Utajuta!!

Otherwise ji-twist akili ubaki huko ulipo. Km watu wanatoka huko Mashariki ya mbali, Newzealand na Canada wanakuja kufanya kazi Tz, vp mwenyeji wa Mbeya/Iringa unapata ugumu kuishi Kolomije?

Kwa mshahara wa 725,000 pm utakufaa zaidi Kolomije kuliko huko unapopataka kwa sababu tuu za moto wa ujana. Muhimu kuwa determined na usipende kujihusisha na masuala ya mahusiano.

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom