Natafuta kazi ya ualimu kwa masomo ya physics na mathematics

Tafadhali naonmba ujibu kwanza hili swali ili tuweze ku-confirm kweli kama wewe ni mwalimu wa Fizikia

Qn: An alloy made of Silver and Gold has a mass of 13200kg and its total volume is 20 meter cubic. Find the mas of Gold and that of Silver in the alloy (Density of Gold is 19320 kg/m^3; Silver 10490 kg/m^3).

Na kama hili swali limekosewa, naomba ulirekebishe na useme limekosewa namna gani!
Data ya density of alloy imemiss
 
Mi sijasomea ualimu bt naliweza ,kama una tuition naomba nafasi, interview ruhsa
Ndugu yangu nashukuru kwa offer yako. Mimi nami hapa nilipo nina ujajnja mwingi tu wa kwenye mtandao ndugu yangu ila na mimi ni kati ya wachovu sana, ...., usione kimbelembele cha kutoa swali na mimi mwenyewe nilikuwa kwenye DIVETAIZI ya kutafuta chochote. Mungu akutangulie utapata ndugu yangu. Ubarikiwe kwa upeo huo ulionao wa kuwaamini wenzako na kuwawazia hali za juu kuliko ulivyo wewe, wakati kumbe unaweza wewe ukawa uko juu kuliko wao. Hata kama hauko hivyo kwa sasa, kuna siku nina hakika utakuwa!
 
Umeshapata kazi, wewe ni mwalimu. Rekebisha tu ststement yako hapa inayosema

"Where $g and $s are the density of gold and density of silver respectively!" badala yake isomeke kuwa "Where $g and $s are the densitIES of gold and silver respectively!

Uko safi, nimekuaminia!
Ka Makanyaga kajinga, kanamtishia dogo na written interview!
 
Habari zenu mimi naitwa Elifuraha Lyimo nipo Arusha natafuta kazi ya ualimu English Medium kwa masomo ya Mathematics,Sst,Civic and Moral, History
namba yangu ni 0714954609
 
Oky... Nilidhani unafundisha maths na physics secondary
Habari mkuu. naomba msaada wako kama ikiwezekana uniunganishe na shule binafsi za msingi ama sekondari. Ni mwalimu wa shahada ya kwanza katika masomo ya Kiswahili na Historia. Niko Magole-Kilosa Morogoro. Pia yeyote anayeguswa naomba anisaidie. Niko tayari kufanya kazi popote na kwa uaminifu hata kama ni malipo kidogo ilimradi mazingira ya kazi yanaruhusu kuonesha ujuzi wangu kwa uhuru.
Napatikana kwa 0769796425
kwa barua pepe sadockgerald3@gmail.com.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom