Natafuta kazi ya ualimu, anayeweza kunisaidia nitashukuru

masanjuo

Senior Member
Oct 10, 2016
184
306
Habari zenu,

Nipo kwenye kipindi cha stress sana ajira za uwalimu mbioni kutoka jamani jamani tusaidiane mwenye connection. Natafuta Mimi naomba msiniache tafadhal namimi huu mwaka nibahatike naombeni mnisaidie nmeteseka mno toka nimalize chuo kikuu 2016 mpaka Sasa nawaomba
 
hahahaa mkuu kabla ya december alisema it means hata november, ila utapata tu mkuuu, umenipita miaka mi3 ya kugraduate. by the way unamasomo gan
 
Habari zenu,

Nipo kwenye kipindi cha stress sana ajira za uwalimu mbioni kutoka jamani jamani tusaidiane mwenye connection. Natafuta Mimi naomba msiniache tafadhal namimi huu mwaka nibahatike naombeni mnisaidie nmeteseka mno toka nimalize chuo kikuu 2016 mpaka Sasa nawaomba
Mkuu punguza stress ,unaandika kwa kukurupuka Sana
 
Back
Top Bottom