Natafuta kazi ya security mgodini

centry

JF-Expert Member
Jan 12, 2017
246
334
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, wakuu naomba mwenye kuweza kunisaidia nipate kaz ya security au kazi yeyote mgodini, Elimu yangu diploma . Asanteni.
 
Mhhh kuna security wa migodi na makampuni na majumbani hahahahah
 
zikitoka takushtua utume maombi yako ,but kwa Bulyanhulu securitxm wameiweka kwenye internal category works so hupenda kuchukua Wasukuma mara nyingi
 
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, wakuu naomba mwenye kuweza kunisaidia nipate kaz ya security au kazi yeyote mgodini, Elimu yangu diploma . Asanteni.
Umeshadanganywa kuwa migodini kuna pesa na wewe unataka kwenda huko.
Sema unatafuta kazi ya ulinzi hata I we bar,kikubwa update ridhiki.
Kila la heri!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom