Natafuta kazi ya Quantity Surveyor ktk kampuni yoyote ya ujenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kazi ya Quantity Surveyor ktk kampuni yoyote ya ujenzi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by kabye, Nov 5, 2011.

 1. k

  kabye JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 355
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  naomba msaada kwa yoyote atakaye sikia nafasi hii basi tujulishane
   
 2. k

  kabye JF-Expert Member

  #2
  Nov 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 355
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nina bachelor degree ya BE, Natafuta kazi kwenye costruction industry i.e. consutants, contractors na engineering firms/ company, kwa yeyote ataye sikia naomba anijuze.
   
 3. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #3
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Experience?
   
 4. k

  kabye JF-Expert Member

  #4
  Nov 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 355
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mi nemaliza this yr mkuu, so exerience is abt 6month plus class projects
   
 5. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #5
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nakushauri utafute sehemu zinazoendana na kazi yako then ujitolee (volunteer) kufanya kazi hapo. Hiyo itakusaidia kuongeza experience, kutengeneza network na pia unaweza kupata kazi hapo (though si lazima) but it works. All the best ndugu
   
 6. k

  kabye JF-Expert Member

  #6
  Nov 7, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 355
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  pouwa kwa ushauli wako so nitaufanyia kazi thaxs a lot
   
Loading...