natafuta kazi ya pharmacy

torvic

JF-Expert Member
Mar 9, 2016
3,806
9,303
jamani wakuu maisha ya mtaani kero, nimesoma pharmacyngazi ya cheti lakin mpaka sahiv nipo mtaani kama kuna kazi uko inayohusina na uju wangu tusaidiane. kwa mawasiliano 0657025002
 
Ulishawahi kuuza hizo dawa au ndio umetoka class? Na kama ndio uzoefu mda gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom