natafuta kazi ya part time yoyote

simba wa dodoma

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
925
1,010
habari ndugu zangu mimi nimeajiriwa kampuni flani hivi sasa muda mwingi nashinda home kutoka kule napofanya hua nafanya muda mchache so muda mwingj nakua home

mwenye kazi ambayo anaweza kunifundisha nikamsaidia or tukasaidiana swala malipo sitaki kukuumiza mimi anisaidie nauli tu ya daladala kwenda na kurudi na chakula ambapo siku nitakapokuja kazi yoyote najiamni mm mwepesi kujua vitu or kushika vitu mapema

iwe kwa hapa tu dsm ningependa zaidi isiwe njee ya wilaya ya kinondoni

sitaki sehemu mbali kama kigamboni, mbagala tandika or gongo la mboto

swala muda wangu nishajipanga teyali nachohitaji ni kujifunza vitu vingi swala la malipo itategemea

naomba uni PM
 
Mungu akusaidie upate hitaji la moyo wako hakika ili ni jambo jema sema watanzania wenye fursa hawataki kabisa kushirikiana na wenzao wa hali ya chii
 
Hali ya UCHUMI ni ngumu sema viongozi wanakakamaza shingo zao. Yaani ukiona nguvu kazi kama hii ziko tayari kufanya kazi yoyote ili walipwe CHAKULA jua ni HATARI NA NUSU.

MUNGU TUNASUE, WENYEWE HATUWEZI
 
Wew

Wewe umewaza kwa ufupi wa akili yako na unajivunia kutangaza ujin.ga wako...
 
Rubii, its my hope Mimi ni babu yako, pili that's a free forum ambayo kila MTU anachangia according to his/her will!!

Sijaona sababu ya wewe kunitukana.

All in all nimekuelewa na matusi yako nimeyapokea.

Asante
 
inshort nahitaji kujifunza vitu vingi ndio maana nasema hivyo nikisema nataka ajira ya kazi tutasumbuana malipo na muda wangu utakavyonipangia ndio maana nasema hivyo
 
habari ndugu zangu mimi nimeajiriwa kampuni flani hivi sasa muda mwingi nashinda home kutoka kule napofanya hua nafanya muda mchache so muda mwingj nakua home

mwenye kazi ambayo anaweza kunifundisha nikamsaidia or tukasaidiana swala malipo sitaki kukuumiza mimi anisaidie nauli tu ya daladala kwenda na kurudi na chakula ambapo siku nitakapokuja kazi yoyote najiamni mm mwepesi kujua vitu or kushika vitu mapema

iwe kwa hapa tu dsm ningependa zaidi isiwe njee ya wilaya ya kinondoni

sitaki sehemu mbali kama kigamboni, mbagala tandika or gongo la mboto

swala muda wangu nishajipanga teyali nachohitaji ni kujifunza vitu vingi swala la malipo itategemea

naomba uni PM
Nakutakia kila la kheri! Wosia wangu: Unapofanya kitu chochote kinachohusiana na kutafuta kazi fanya kwa umakini! Nina maana kama ni barua ya kuomba kazi iandika vizuri au kama ni kuvaa, basi jaribu kuvaa vizuri. Namna ulivyoandika maelezo yako kwenye hii thread yaninipa wasiwasi. Kweli uu mwepesi kujifunza?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom