Natafuta kazi ya Night DJ wa club

Deejayptz

Member
Sep 22, 2016
64
19
Ni muajiriwa wa tv/radio station kampuni flani,napenda sana mziki nataka baada ya majukumu mengine nifanye kitu kingine nachokipenda ambocho naamini kipo kwenye damu yangu muda wote mpaka home nina home studio kwa ajili yangu ya kufanya mazoezi ya video mixing.natafuta kazi ya Night club kua Dj wa video mixing (DVJ) kwa Dsm unaweza kunicheck 0764 876 888 call/whatsapp
 
Kwa hiyo ukiweza kuinstall na kugusagusa Virtual DJ uméshà kuwa DVJ. Any way wish ú Lucky
 
Kwa hiyo ukiweza kuinstall na kugusagusa Virtual DJ uméshà kuwa DVJ. Any way wish ú Lucky
Kwa hiyo ukiweza kuinstall na kugusagusa Virtual DJ uméshà kuwa DVJ. Any way wish ú Lucky
Shukran kwa dharau zako si nimeandika CV za softwers nazo2mia hapo au umejickia 2 kuja kucomment ufala kwenye post yangu pengine huna hata unachokijua umeambiwa mm dj softwear acha ufala
 
Screenshot_2018-09-16-18-10-37~2.jpeg
 
Nilitaka nimpe connection sehemu fulani huyu jamaa .
Ila kwa matusi hayo nishajua ni walewale vijana waajabu ajabu .
Atakula alikopeleka Unga.
Hakuna mwenye Shida na connection zenye dharau ja matusi Rizki anapanga MUNGU pekee sio binaadam pia sipo tayari kwa dharau hizo hata kwa connection zako
 
Hiyo video mixing kwa nini usizitangeneze halafu unafungua youtube channel na kuzipost nadhani hii itakupa uwanja mpana wa kujipromote kupitia mixing zako.
 
Naomba kuelimishwa kumbe dj kuna video mixing? Mimi najuaga ni kupiga tu miziki.
 
Ni muajiriwa wa tv/radio station kampuni flani,napenda sana mziki nataka baada ya majukumu mengine nifanye kitu kingine nachokipenda ambocho naamini kipo kwenye damu yangu muda wote mpaka home nina home studio kwa ajili yangu ya kufanya mazoezi ya video mixing.natafuta kazi ya Night club kua Dj wa video mixing (DVJ) kwa Dsm unaweza kunicheck 0764 876 888 call/whatsapp

Tembelea sehemu ambazo muziki hujpigwa na DJs. Jenga nao urafiki, usisite kuwanunulia bia na misosi. Then wape wazo lako, kuna siku watakuachia machine.

Komaa
 
Back
Top Bottom