October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 4,997
.
PamojaKila la Kheri mkuu
Ndio mkuuu nimemalizaKwa hiyo umemaliza field au??
Jielezee vizur unataka ujitolee kama nani maana unaweza ukapata pa kujitole(pharmacy,dispensary au hospital) ukaambiwa uwe kama mfanya usafiKupitia Uzi huu huu na Mimi niombe mwenye pharmacy,duka la dawa,dispensary, hospital nije kujitolea.
Nataka kujitolea kama mfamasia.Jielezee vizur unataka ujitolee kama nani maana unaweza ukapata pa kujitole(pharmacy,dispensary au hospital) ukaambiwa uwe kama mfanya usafi