Natafuta kazi ya marketing/ afisa mikopo/ procurement

MrMaro

Member
Aug 23, 2021
10
45
Habari wakuu, Mimi ni Kijana wa kitanzania Mwenye umri wa miaka 29. Banda ya kumaliza kidato cha nne nilijiunga na chuo cha utumishi wa umma TANZANIA PUBLIC SERVICE COLLEGE, TABORA CAMPUS.

Nilisoma kozi ya Ugavi na manunuzi kwa ngazi ya diploma Lakini kutokana na changamoto za kifamilia sikufanikiwa kuhitimu masomo yangu. Nilipata KAZI ya Kwanza Kama store keeper Katika hoteli mkoani Iringa.

Baada ya muda nilipanda cheo na Kua Meneja wa hoteli. Baadae Nilipata kazi katika chuo kimojawapo mkoani Arusha na nilifanya kazi nafasi ya afisa masoko kwa muda wa miaka miwili. Hivyo nina uzoefu wa miaka miwili katika kazi za afisa masoko pia Nina uzoefu wa mwaka mmoja na nusu katika kazi za store keeping. Pia Nina uwezo wa kutumia mzuri Sana wa kutumia kompyuta.

Hivi sasa ninatafuta kazi katika idara za nilizotaja hapo juu. Kwa alie na Nafasi tunaweza kuwasiliana kwa namba 0717051576
 

PierreLiquid

JF-Expert Member
Oct 16, 2019
600
1,000
Habari, nina diploma ya ugavi na udhoefu wa mikopo, individual and groups (microfinance) nahitaji kazi yoyote kwa sasa,nikipata usimamizi na utendaji kwenye biashara yako nitakuingizia faida sana, nina management skills kubwa sana
0712605935
Nipo DSM
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom