Natafuta kazi ya M-pesa nipo Kahama

Oct 11, 2021
26
15
Ndugu zangu habari za humu ndani,jina langu halali naitwa kelvin, nimehitimu chuo mwaka huu ila uku mtaani sion mwelekeo kabisaa, leo nimekuja natafuta kazi ndugu zangu ikiwa ni uwakala wa mitandao either M-pesa, Airtel money, na nyinginezo.

Pia kazi ya duka, sheli, agent wa mabasi pia naiweza. Nahitaj msaada wenu na mahali popote ndani ya Tanzania nipo tayari kufika kufanya kazi

#Contacts:0763014125
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom