Natafuta kazi ya kuwa Personal Assistant

Habari zenu nduguzangu,
Naomba tuhusike na kichwa cha habari hapo juu

Mimi ni kijana mwenzenu(male) niliemaliza kidato cha sita(6) mwaka 2019/20 , nipo hapa mbele yenu leo kuomba kazi kama personal assistant wako katika kazi yeyote utakayonipa bora tu iwe ya halali kisheria, na kwa urefu ni 5"8", na ni mpenzi sana wa kusoma vitabu hasa kwenye category za kibiashara, psychology na communication ukizingatia Kua sina kazi kwa sasa, ni FLUENT in english,


makazi yangu ni DAR ES SALAAM, kwa yeyote atakaehitaji kunipatia kazi namba zangu ni zifuatazo : 0624438779 , naomba unitumie msg nitajibu,
Muwe na siku njema
Njooni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom