Natafuta kazi ya kuuza duka!

Criss Alex

Senior Member
Apr 18, 2012
111
10
Mimi ni kijana niliyehtimu kidato cha nne mwaka jana! Natafuta kazi ya kuuza duka au kazi ya aina yoyote ile! Mshahara 2taelewana. Mawasiliano; email. Crissalex1@live.com. Simu namba. +255719665022.
 
kaka mbona unapenda kuuza duka kuna usalama kweli???
poa vp ya kufagia ofisini upo tayari?
 
Mimi ni kijana niliyehtimu kidato cha nne mwaka jana! Natafuta kazi ya kuuza duka au kazi ya aina yoyote ile! Mshahara 2taelewana. Mawasiliano; email. Crissalex1@live.com. Simu namba. +255719665022.

Unapenda sana ku surf,nazani ukajipange upya mana huna vigezo.
 
Hapana ila ni ugumu wa maisha 2! Nimetafuta kazi yoyote nimekosa!
 
Mimi ni kijana niliyehtimu kidato cha nne mwaka jana! Natafuta kazi ya kuuza duka au kazi ya aina yoyote ile! Mshahara 2taelewana. Mawasiliano; email. Crissalex1@live.com. Simu namba. +255719665022.

Kuuza duka au kuuza bidhaa zilizopo dukani?
 
Ah?!!! Kwanini usitafute mtaji ufungue duka lako? Sio lazima uanze na mtaji mkubwa, Kuna kijana alianza na meza ya pipi, biscut kalamu ,BIG G, Madaftari na vitu vidogo vidogo .Sasa hivi ana duka kubwaaaa. Wewe Je? Dunia yako chaguo lako.
 
f4 na unakomalia kuuza duka! ww ni mchaga bila shaka lkn nakushauri kama una credit piga shule ndugu yangu au nenda kozi yoyote ya ufundi mchundo upate ujuzi.all the best though
 
Nashndwa kujiendeleza kutokana na familia yangu kutokuwa na uwezo! Kwani sina baba na ninaishi na mama yangu 2! Mama anafanya biashara ya kuuza nyanya ndiyo inayo2lisha.
 
POLE SANA. JAMANI NI BORA HUYU KIJANA AKASHAURIWA VIZURI SI KUMPA USHAURI WA KIJINGAJINGA. aNAONEKANA ANA SHIDA. NAWASHUKURU KWA WALIOMSHAURI VIZURI. KIJANA MUNGU YUPO ATAKUSAIDIA
 
Mimi ni kijana niliyehtimu kidato cha nne mwaka jana! Natafuta kazi ya kuuza duka au kazi ya aina yoyote ile! Mshahara 2taelewana. Mawasiliano; email. Crissalex1@live.com. Simu namba. +255719665022.
Kama upo dar fika kwa wahindu pale k/koo SAI Impex ltd. Au piga 0714040306
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom