Natafuta kazi ya kuuza duka au yoyote

Habari wana jf mm n msichana mwenye miaka 21 elimu yangu n kidato cha nne nlikuwa natafuta kazi ya kuuza duka au yyte ile mwenye hitaji la mfanyakazi naomba aniinbox ntamtafuta naishi dar temeke

Unaonaje kama hapo kwenye neno 'kazi yoyote' ukalifungua zaidi maana isijekuwa unaongea kama ahadi ya Kaizari kwa binti yake.
 
Sina zaidi ya kazi ya kunipikia na kunifulia... hata hivyo niko bachelor, kazi kwako.
 
Habari wana jf mm n msichana mwenye miaka 21 elimu yangu n kidato cha nne nlikuwa natafuta kazi ya kuuza duka au yyte ile mwenye hitaji la mfanyakazi naomba aniinbox ntamtafuta naishi dar temeke

Nitafute PM kama uko serious
 
Nakushauri Usome tu Mdogo Wetu.. Tafuta fan yeyote uwe na kaujuzi... nchi ya viwanda ndio imeshaanza kuandaliwa na wewe jiandae... i know life ni tafu... ila komalia elimu hata kama ni ngumu rudia rudia akili zitashika tu
 
  • Thanks
Reactions: 7ve

Asante kwa ushaur wako na mungu akubariki
 
Huko PM mbona watu wanapenda kupatumia sana hasa kwenye matukio kama haya?
Kwa upande wng natumia pm maana nmaelewano ya kaz kwa mwajir na mtafuta kaz na pia kufanya sir ya malipo ya kaz kama ntakuwa nmekosea naomba unisahihishe
 
Asante kwa ushaur wako na mungu akubariki
Ok Bahati Mbaya Siamini uwepo wa Mungu Mnayemuamini Nyie... Na Maisha yanasonga kwa Juhudi tu... Ukilala hali inakuwa Mbaya... so Ni Maamuzi tu... Ukitaka Kuwa Masikini Tajiri hakuhitaji Umungu...
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom